UTATA! Msiba wa Sam Waukweli, Ndugu Waingilia Kati Sakata la Usafiri
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-06-08
Просмотров: 87553
UTATA! Msiba wa Sam Waukweli, Ndugu Waingilia Kati Sakata la Usafiri
Kufuatia kifo cha msanii, Sam wa Ukweli, kilichotokea usiku wa kuamkia leo kwa tatizo linalodaiwa kuwa ni Ukimwi wa Kurogwa,
Utata mzito uliibuka katika hospitali ya mwananyamala ambapo mwili wa marehemu Sam waukweli uliifadhiwa kwa kusubiri ratiba za maziko, ambapo ndugu wa marehemu waliamua kuingilia kati baada ya kutoona ushirikiano wa watu ambao walikuwa wamepata ahadi ya kufanikisha baadhi ya gharama za maziko hayo wakiwemo Mameneja wake wa zamani ambapo ni Papaa misifa,meneja maneno pamoja na kisaka.
Hta hivyo ndugu hao walichukua uamuzi huo baada yakukata tamaa tena kwa kutoona ushirikiano wa asilimia hata 75 kwa wasanii wa muziki na kama ilivyokuwa kwenye misiba ya wasanii wengine.
Utata huo uliisha baada ya wahusika hao kufika eneo la tukio na kufanikisha kwa haraka malalamiko hayo.
Instal GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: