JINSI YA KUTENGENEZA NYANYA KUKAA MDA MREFU KWENYE FRIDGE/KUSAVE NYANYA ZISIHARIBIKE/SAVE TOMATOES
Автор: Miss Masao
Загружено: 2022-03-27
Просмотров: 18312
JINSI YA KUTENGENEZA NYANYA ZIWEZE KUKAA MDA MREFU KWENYE FRIDGE BILA KUHARIBIKA
Nimekuwa nikitumia hii method kwa mda mrefu sana na imekuwa ikinisaidia , kwanza kusaidia nyanya zangu zisiharibike , pili nyanya zangu zinakaa kwa mda mrefu, tatu nina save hela kipindi nyanya ni nyingi sokoni huwa na nunua na kuzihifadhi hivi mpaka mda nyanya huwa za bei mimi bado nakuwa na nyanya ndani, nne wakati wa kupika inarahisisha mda .
Jaribuni hii namna na hutajutia wala kurudi nyuma tena na mapishi utarahisisha sana.
For inquiries
email:[email protected]
instagram:missmasao
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: