Waathirika wa biashara mtandao ya kampuni ya Q-NET waanza kurejeshwa makwao
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-06-23
Просмотров: 29334
Waathirika wa utapeli unaofanywa kupitia Kampuni ya Biashara ya Mtandao Q Net katika eneo la Mbezi Dar es Salaam wameanza kurejeshwa makwao kupitia operesheni maalumu inayofanywa na ofisi za wenyeviti a serikali za mitaa ikihusisha kuondolewa katika nyumba wanamoishi zoezi linalosimamiwa na Polisi Kata.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: