Miili ya waliokufa kwa ajali Korogwe yaagwa , idadi yafikia 21
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-02-05
Просмотров: 47438
Mkuu wa mkoa wa Tanga Omary Mgumba ameliagiza jeshi la polisi mkoani humo kuwatafuta na kuwakamata wananchi ambao wamekwenda kuiba kwenye tukio la ajali juzi usiku.
Akizungumza na waombolezaji wakati wa shughuli za kuaga miili ya marehemu waliofariki kwenye ajali hospitali ya Magunga wilayani Korogwe leo Jumapili Februari 5,2023 amesema waokoaji hao walioiba wakamatwe.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: