Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA SANKARA/ RAIS ALIYELALA GEREZANI NA KUAMKIA IKULU/KIFO CHAKE CHATISHA!

Автор: Ananias Edgar TV

Загружено: 2020-08-30

Просмотров: 235900

Описание:

DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA SANKARA/ RAIS ALIYELALA GEREZANI NA KUAMKIA IKULU/KIFO CHAKE CHATISHA!

Thomas Sankara alizaliwa katika familia ya kishua, Baba yake alikuwa Miltary Police. Hakukulia kwenye zile nyumba za kulala na kuku,mbuzi na viroboto. Alikulia kwenye nyumba ya tofali labda ndo maana alikubali kufa kwa ajili ya maskini. Hakuwa limbukeni wa maisha kama Kamuzu Banda na Mobutu Sese Seko. Sijui kwa nini watu wengi waliokulia kwenye maisha ya kimaskini huwa hawana huruma? Angalia wazazi wengi waliosoma kwa shida kama baba yako mkubwa wanavyotamani watoto wao wasome kwa shida na wakati Mungu kawabariki utajiri wa kutupa. Ndo hawa wanamilikia magari lakini mwiko mtoto kuligusa na mke hajui kuendesha. Ndiyo maana mjomba wangu alipenda kusema umaskini siyo mzuri. Umaskini unashambulia ubongo wa upendo na kupandikiza chuki. Maskini akipata matajiri jiandaeni!

JE,UNATAKA KUTANGAZA NA ANANIAS EDGAR TV?
WASILIANA NASI KUPITIA: +255659982764 /+255629977724
EMAIL: [email protected]

Follow Us On Instagram
  / ananiasedgartz  
  / ananiasedgartv  
SUBSCRIBE
https://bit.ly/2ZWGBXo

Copyright Disclaimer: Under Section 107 of the Copyright Act 1976, allowance is made for fair use for purposes such as criticism, comment, news reporting, teaching, scholarship, and research.

______________________________________________________________________________________________

SIMULIZI ZA MATUKIO: https://bit.ly/2XlNCzg
HISTORIA ZA VIONGOZI: https://bit.ly/3ezWg2X
ELIMU ZA UKOMBOZI: https://bit.ly/3eCOK7m

DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA SANKARA/ RAIS ALIYELALA GEREZANI NA KUAMKIA IKULU/KIFO CHAKE CHATISHA!

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA LUMUMBA NA  KUYEYUSHWA KWENYE PIPA LA TINDIKALI

DENIS MPAGAZE: Mfahamu SAMORA MACHEL Baba Wa Taifa La MSUMBIJI Na Harakati Za Ukombozi Wa Taifa Hilo

Nini Chanzo Cha Ugomvi wa BIBI TITI na NYERERE? Huyu Ndiye BIBI TITI Mohamed

The Story Book: Vita ya Congo | Mauaji ya kutisha

The Story Book CHE GUEVARA Mwanamapinduzi Alikufa Vibaya Kisa Kutetea Wanyonge

SAMORA MACHEL: Rais Aliyetolewa UHAI Kwa Njama Kisa Mabeberu!

THE STORY BOOK: JULIUS CAESAR SHUJAA WA ROMA ALIYEFIKIA KUITWA MUNGU

The Story Book : Wafalme wa MADAWA YA KULEVYA AFRIKA Na Vita Taifa la GUINEA-BISSAU (PART 02)

DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA MTEMI MILAMBO/NAPOLEON WA AFRIKA ALIYELISHWA SUMU NA MJOMBA WAKE

DENIS MPAGAZE:  Mfahamu Mzee MWINYI /Rais Aliyetawala ZANZIBAR Na Jamhuri Ya Muungano Wa TANZANIA

SAVIMBI: Mpigania Uhuru Wa ANGOLA, Aliyezikwa Kama Mbwa!

HISTORIA Ya KARUME, Rais Aliyezawadiwa  KIFO Kwa WEMA Wake!

DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA RAIS JOSEPH MAGUFULI NA KISA CHA ASIYEFANYA KAZI NA ASILE

The Story Book : Kisa Cha SHETANI Kufukuzwa MBINGUNI (Kwa Mujibu wa WAISLAMU)

BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.

MJUE NELSON MANDELA - SHUJAA wa AFRIKA ALIYESHINDWA MAPENZI AKAWEZA VITA vya UBAGUZI...

THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU

Вожди народов. Лев Троцкий. Документальный фильм (2021) | History Lab

NGUEMA: Rais Mvuta Bangi/MCHAWI, Aliyeua Nusu Ya Raia Wake!

DENIS MPAGAZE: HISTORIA YA BENJAMINI MKAPA

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]