ISHARA 5 ZINAZO ONYESHA MUNGU ANAZUNGUMZA NA WEWE
Автор: NGUVU YA MAONO MEDIA.
Загружено: 2025-03-12
Просмотров: 7503
MUNGU Huwa Anazungumza na watu wake ila Asilimia kubwa Watu hawajui kuisikia sauti ya Mungu, Zipo ishara zinazo ONYESHA kuwa Mungu Anazungumza na wewe, Ni muhimu kuzitambua ishara zinazo ONYESHA Kuwa MUNGU anakusemesha Kwa sababu ukizitambua ishara Hizi UTAKUWA unajua kutofautisha sauti ya Mungu na sauti nyinginezo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: