NCCR MAGEUZI YAMPITISHA MGOMBEA URAIS "TUNAKWENDA KUZIMA KIJANI TUNAWASHA BLUE"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2025-05-13
Просмотров: 1107
Chama cha NCCR Mageuzi kimempitisha Mwenyekiti wa Taifa wa cha hicho Haji Ambari Khamis kuwa Mgombea wa Urais pamoja na makamu wake Joseph Roman Selasini kuwa Mgombea Mwenza
akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam leo Mei 13, 2025 katibu Mkuu wa cha hicho Evaline Wilbrod Munisi amesema zoezi la uchukuaji fomu za kugombea katika nafasi mbalimbali za Urais,Ubunge na Udiwani katika Uchaguzi Mkuu ujao zitaanza kutolewa katika Ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho kuanzia Mei 31 hadi Juni 15,2025.
“sisi NCCR tunakwenda kuizima ile kijani tunawasha ya blue, Kupitia Kikao cha halmashauri Kuu Taifa ya chama chetu kilichofanyika Machi 30 ,20205 chama kimejipanga kushiriki kikamilifu kwa kusimamisha wagombea katika nafasi zote” Katibu Mkuu NCCR
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: