JUBILEI NI SHANGWE - UKWAKATA PAROKIA YA BIKIRA MARIA CONSOLATA, KIGAMBONI
Автор: KWAYA YA MT ALOIS GONZAGA -KIGAMBONI
Загружено: 2023-06-17
Просмотров: 3600
Jubilei maana yake nini?
"Jubilei ni shangwe"
Ndivyo anavyotueleza mtunzi wa wimbo huu Ndg. Pius Fubusa. Hivyo basi karibuni tuungane kumsifu na kumshukuru Mungu pamoja na wanaparokia ya Bikira Maria Consolata Kigamboni kuelekea kilele cha adhimisho la Jubilei ya miaka 50 ya Parokia yetu mnamo tarehe 25/06/2023.
WIMBO: JUBILEI NI SHANGWE
MTUNZI:P.P.FUBUSA
AUDIO & VIDEO PRODUCTION: KHAKI MEDIA PRO
SOUND ENGINEER: MASHAMBA
Usiache kusubscribe katika channel yetu ili usipitwe na machapisho yajayo; -
#catholicchurch #catholic #music #vatican #kwaya #kwayakatoliki #mssscnotes #jubilee
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: