Makala ya Muongozo wa Kilimo Bora cha Zao la Mahindi
Автор: Tanganyika Christian Refugee Service
Загружено: 2025-02-06
Просмотров: 120
Ikiwa taifa letu limetoka kwenye kundi la mataifa yasiotambulika kwenye ramani ya uzalishaji wa chakula duniani mpaka kuwa taifa ambalo hivi karibuni limekuwa lipo kwenye mataifa yanayotambulika kwenye uzalishaji wa chakula barani Afrika, na kuwa ni mtayarishaji wa pili kwa ukubwa wa zao mahindi barani Afrika.
TCRS inakuletea makala ya uzalishaji wa zao hili la mahindi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: