Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

NYUMBANI MWA BABA / SOFT LIFE // MSANII MUSIC GROUP

Автор: Msanii Records

Загружено: 2024-10-25

Просмотров: 264418

Описание:

Join this channel to get access to perks:
   / @msaniirecordseastafrica  

Lyrics

Uliza mwenzako,
Je watamani nini duniani?
Bila shaka atajibu nataka maisha bora
Soft life
Ndio ndoto ya kila mwana damu wa siku ya leo
Nile ninywe nivae vizuri a kuzipiga sherehe
Jambo twapaswa kulielewa sana
Dunia hakuna mapumziko
Fanya bidii sasa kungali mchana
Tufanye yote aliyoagiza
Ndipo ajapo na ujira wake mkononi
Tutapata malipo ya mapumziko...

Nyumbani mwa Baba
Hakuna changamoto Kama duniani
Nyumbani mwa Baba
Ni furaha tele
Hakuna giza hakuna jua la moto
Nyumbani mwa Baba
Hakuna kazi
Ni mapumziko

Tulio na imani
Tutateseka japo kwa mda
Siku za mwanadamu duniani
Ni chache tena za shida
Bali ukijiponza na raha hizi
Za mda kidogo
Ukikosa kutupu utapotea
Hakutakuwa na machungu kama tunayopitia aaa
Mambo yatabadilika tutapoingia kule
Wala giza na mambo yake havitatawala tena kama duniani
Bwana Yesu atakuwa ndiye mwanga mkuu...


Nyumbani mwa Baba
Hakuna changamoto Kama duniani
Nyumbani mwa Baba
Ni furaha tele
Hakuna giza hakuna jua la moto
Nyumbani mwa Baba
Hakuna kazi
Ni mapumziko


Nyumbani mwa Baba
Hakuna changamoto Kama duniani
Nyumbani mwa Baba
Ni furaha tele
Hakuna giza hakuna jua la moto
Nyumbani mwa Baba
Hakuna kazi
Ni mapumziko


Nyumbani mwa Baba
Hakuna changamoto Kama duniani
Nyumbani mwa Baba
Ni furaha tele
Hakuna giza hakuna jua la moto
Nyumbani mwa Baba
Hakuna kazi
Ni mapumziko


Nyumbani mwa Baba
Hakuna changamoto Kama duniani
Nyumbani mwa Baba
Ni furaha tele
Hakuna giza hakuna jua la moto
Nyumbani mwa Baba
Hakuna kazi
Ni mapumziko

NYUMBANI MWA BABA / SOFT LIFE // MSANII MUSIC GROUP

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

array(0) { }

© 2025 dtub. Все права защищены.



  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности



Контакты для правообладателей: [email protected]