Kijana Usije Ukafanya Kosa Hili Kabla Ya Kuoa Utajuta - Debora Urio
Автор: Hamasika Tv
Загружено: 2025-07-12
Просмотров: 11169
Kijana kabla hujafanya uamuzi mkubwa wa kuoa, kuna kosa moja kubwa ambalo vijana wengi hulifanya bila kujua, kosa ambalo linaweza kuharibu ndoa yako hata kabla haijaanza.
Katika video hii tunajadili kwa kina kosa hilo, madhara yake kwa maisha ya ndoa, na namna ya kuliepuka mapema ukiwa bado hujaingia rasmi kwenye ndoa.
Kwenye video hii pia utafahamu Sababu kwanini kosa hilo ni hatari kwa maisha ya baadaye na pia utapata Ushauri wa kitaalamu na wa kiroho ili ujitayarishe vyema kwa ndoa
Usikose kuchukua hatua sahihi kwa wakati sahihi. Bonyeza Subscribe kwa maarifa mengine ya kukuandaa kuwa mume bora au mke bora wa baadaye.
#Ndoa #Mahusiano #MaishaYaKijana #HamasikaTv
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: