TAKWIMU ZINAVYOCHANGIA MAENDELEO KATIKA TAIFA
Автор: KUSINI NEWS
Загружено: 2025-11-18
Просмотров: 21
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amesema kuwa takwimu ni nyenzo muhimu na mwanga wa maendeleo ya taifa, akisisitiza kuwa bila takwimu sahihi haiwezekani kufanya ulinganifu wa maendeleo na vichocheo vyake.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika kwa Kanda ya Kusini, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Songea Club, mjini Songea, Brig. Jen. Ahmed amesema kuwa taifa linalotumia takwimu kwa usahihi ndilo linaloweza kupiga hatua za kweli za maendeleo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: