Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongea wakati ufunguzi wa Tamasha 2 Fahari ya Zanzibar
Автор: zeea_agency
Загружено: 2024-09-20
Просмотров: 96
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Pili la Fahari ya Zanzibar, lililoandaliwa na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA), katika viwanja vya maonesho ya biashara Dimani, Wilaya ya Magharibi B, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 20 Septemba 2024.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: