MAZISHI YA BI KIDECHA
Автор: Jufe Film Production
Загружено: 2022-06-02
Просмотров: 120699
Msanii wa Maigizo kutoka Pemba aliekua akifanya kazi zake za sanaa JUFE FILM PRODUCTION maarufu BI KIDECHA amefariki Jumanne Tarehe 31/05/2022, na kuzikwa tarehe 1/6/2022.JUFE inawapa pote mashabiki wa Bi Kidecha na JUFE kwa ujumla na kila alieguswa msiba huu .Tunamuomba Allah amsamehe madhambi yake na amjaalie pepo kua makaazi yake....Amin.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: