TAMSYA TAIFA:MKUTANO MKUU 2024 JIJINI TANGA.
Автор: Hassan Sima
Загружено: 2025-01-10
Просмотров: 22
JUMUIYA ya Vijana na Wanafunzi wa Kiislamu Tanzania (TAMSYA) wametakiwa kuishi kwa kumtegemea ALLAH S.W kwa kila jambo.
Nasaha hizo zimetolewa na mstahiki Meya wa Jiji la Tanga Abdulrahman Shiloo wakati alipokuwa mgeni rasmi katika mkutano mkuu wa TAMSYA uliofanyika katika ukumbi wa shule ya Istqaama Tanga Islamic Sekondary School jijini Tanga.
Jumla ya wana TAMSYA 132 wamehudhuria mkuutano huo mkuu wa mwaka 2024 kutoka katika mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara na Visiwani huku wanajumuiya wanaume wakina ni 78 na wanawake ni 54.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: