VISHETI Laini vya NAZI | Jinsi ya Kupika VISHETI LAINI Sana kwa Mahitaji Rahisi
Автор: BelsFarm Kitchen Swahili
Загружено: 2024-06-11
Просмотров: 819
visheti. vikokoto. jinsi ya kupika visheti laini Sana kwa Mahitaji Rahisi. jinsi ya kupika visheti laini vya nazi
MAHITAJI;-
Unga was ngano (nusu Kilo)
baking powder (Kijiko 1 cha chai)
chumvi (Kijiko 1 cha chai)
iliki (vijiko 2 vya chai)
tui la Nazi
mafuta ya kupikia (50-70ml)
sukari (ukipendelea)
#visheti #vikokoto #chinchin #vishetilaini #jinsiyakupikavishetilaini #vishetivyanazi #belsfarmkitchenswahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: