NIMETUNGA WIMBO,NAOGOPA KUUFUNDISHA-Enock Zabron
Автор: Enock Zabron Mahega
Загружено: 2023-12-12
Просмотров: 2377
Je umewahi kupitia uzoefu huu?Nimetunga wimbo lakini naogopa kuufundisha.
Wapo watu ambao wana nyimbo kadhaa sasa walizotunga lakini kila wakati wanaogopa waanzaje kufundisha.
Zipo mbinu mbili zitakazokusaidia kuanza kufundisha wimbo wako ulioutunga.
Piga +255768652134
Email:[email protected]
Usisahau ku-SUBSCRIBE,ku-SHARE na ku-LIKE
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: