UNDANI YALIYOJIFICHA ZIARA YA RAIS SAMIA DARAJA LA PANGANI
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2025-02-26
Просмотров: 1164
PANGANI - TANGA Je, unafahamu kuhusu Undani ujenzi wa daraja la Mto Pangani na barabara ya Bagamoyo (Makurunge)- Saadan na Tanga- Pangani.
Ujenzi wa daraja hili Kulingana na Mamlaka za serikali, Daraja la Pangani lina urefu wa Mita 525, likiwa na upana wa mita 13.55, yenye mgawanyiko wa Mita 8 kwaajili ya magari, Mita nne kwaajili ya watembea kwa miguu na Kingo imara zitakazowekwa pembezoni mwa daraja.
Mradi huu unagharimu takribani Bilioni 82 na kufikia leo umefikia asilimia 52.88 za ujenzi wake, likiwa na sifa moja kubwa ya kuunganisha kenya, Tanga pamoja na Bagamoyo na hivyo kuwa daraja na barabara muhimu katika kusisimua uchumi na maendeleo ya jamii ya pembezoni mwa miradi hii.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: