MWENGE WA UHURU WAHITIMISHA MBIO ZAKE MWANZA ,WAKABIDHIWA GEITA/ RC MTANDA AFUNGUKA.........
Автор: ICON TV TZ
Загружено: 2025-09-01
Просмотров: 462
Leo tarehe 01 Septemba, 2025 Mwenge wa Uhuru umekabidhiwa Mkoani Geita katika Kata ya Lwezera baada ya kuhitimisha mbio zake Mkoani Mwanza ambapo umetembelea, kukagua, kuweka mawe ya msingi na kuzindua jumla ya miradi 56 yenye thamani ya zaidi ya Bilioni 100 katika halmashauri 8.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: