🌐MKUU WA WILAYA YA MTWARA ASHIRIKI KONGAMANO LA AMANI NA DUA YA KULIOMBEA TAIFA.
Автор: KITAMA UPDATE ONLINE TV
Загружено: 2025-10-26
Просмотров: 76
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Mhe. Abdallah Mwaipaya, ameshiriki katika Kongamano la Amani na Dua ya Kuliombea Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, lililoandaliwa na Umoja wa Maimamu Tanzania (UMATA) na kufanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Chikongola, Mtwara.#uchaguzimkuu #tandahimba #mtwara
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: