JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA KUTOA MAFUNZO KWA MBWA WA KIRAI KUKABILIANA NA UHALIFU
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2022-08-12
Просмотров: 311
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha kamishina wa msaidizi wa Polisi ACP JUSTINE
MASEJO amesema kuwa Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha mbwa na farasi kimejipanga vyema
kukabiliana na madawa ya kulevya Pamoja na vilipuzi vya aina yeyote ile katika mkoa wa
Arusha.
Kamanda Masejo amesema hayo leo agosti 12 2022 wakati alipotembelea kikosi hicho kwa ajili
ya kukagua mazoezi maalum ya mbwa ambao wanatumiwa na Jeshi la Polisi kuwatambua
wahalifu mbalimbali wakiwemo wamadawa ya kulevya, silaha Pamoja na mabomu.
Sambamba na hilo kamanda Masejo amesema kuwa Jeshi hilo kupitia kikosi cha mbwa na farasi
kinatoa mafunzo kwa mbwa wa kirai ilikuimarisha ulinzi na usalama katika mkoa wa Arushai.
Kwa upande wake mkuu wa kikosi cha Mbwa na farasi mkoa wa Arusha mrakibu msaidizi wa
Polisi ASP WILLIAM MWAISUMO amesema kuwa kikosi hicho kimejipanga vyema kutoa
mafunzo kwa mbwa wote watao letwa kupata mafunzo ya ulinzi na utambuzi wa madawa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: