Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

@officialactwazalendotv BAADA YA UKIMYA WA MDA MREFU Ndg MANSOUR YUSSUF HIMID AONGEA MAZITO

Автор: Vuga Online Tv

Загружено: 2024-05-20

Просмотров: 6621

Описание:

Join this channel to get access to perks:
   / @vugaonlinetv  

#ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
Channel Rasmi ya Chama Cha ACT Wazalendo Habari zote kuhusu Act Wazalendo utazipata kupitia channel hii
Usipitwe na Habari Moto Moto Kutoka Katika Chama Chet Cha ACT Wazalendo makala Tofauti Tofauti Habari nyengine nyingi Kuhusu Chama Chetu Utazipata Hapa

#actwazalendotv, #siasatz #zittokabwe #jussa #mazurui
Chama cha ACT Wazalendo kilianzishwa mnamo mwaka 2014 na ni chama kinachoendelea kukua kwa kasi nchini Tanzania. Sisi ni vuguvugu lenye lengo la kutengeneza Tanzania huru, yenye maendeleo na mafanikio ambayo misingi yake itakuwa ni uhuru, uwajibikaji, na uwazi.
Dira yetu ni kwa Tanzania kupiga hatua ya kimaendeleo kwa kupitia:
1.Kujenga uchumi shirikishi unaoshamiri na wenye kukua na kuweza kutengeneza ajira.
2.Miundombinu imara inayochochea sekta zote za uchumi unaokuwa.
3.Upatikanaji wa elimu bora.
4.Upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wote.
5.Kujenga taasisi ya polisi huru na inayozingatia taaluma ili iweze kuwahudumia na kuwalinda watu wote.
6.Muungano wenye kuweka maslahi ya watu wa pande zote mbele, wa haki na wa usawa utakaowekewa msingi wake kwenye Katiba ya watu.
7.Vita dhidi ya rushwa na aina zote za ufisadi.
8.Utoaji wa hifadhi ya jamii iliyobora kwa wasiojiweza, masikini na watu wengine wasiojiweza.
9.Makazi ambayo watu wanaweza kuyamudu, na kupatikana kwa wote.
10.Upatikanaji wa maji safi na salama kwa watu wote.

@officialactwazalendotv BAADA YA UKIMYA WA MDA MREFU Ndg MANSOUR YUSSUF HIMID AONGEA MAZITO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

MASIKINI!! MBUNGE BWEGE WA ACT WAZALENDO AKATWA MGUU -

MASIKINI!! MBUNGE BWEGE WA ACT WAZALENDO AKATWA MGUU - "SIWEZI KUGOMBEA AFYA INADORORA"

НОВОСТИ 12 ДЕКАБРЯ 2025 ГОДА: ПОЛИЦИЯ НАПАЛА НА МОЛОДОГО ЧЕЛОВЕКА ПО УГОЛОВНОМУ ОБВИНЕНИЮ

НОВОСТИ 12 ДЕКАБРЯ 2025 ГОДА: ПОЛИЦИЯ НАПАЛА НА МОЛОДОГО ЧЕЛОВЕКА ПО УГОЛОВНОМУ ОБВИНЕНИЮ

HII HAPA HUTBA YA MANSOUR AKIONGEA SABABU ZILIZOMTOA CCM.LEO GOLDERN TULIP

HII HAPA HUTBA YA MANSOUR AKIONGEA SABABU ZILIZOMTOA CCM.LEO GOLDERN TULIP

Mhadhara wa Kiprofesa na Profesa Rwekaza Mukandala, Mwanzo-Mwisho Historia ya MV Bukoba

Mhadhara wa Kiprofesa na Profesa Rwekaza Mukandala, Mwanzo-Mwisho Historia ya MV Bukoba

Zitto Atoa Siri Uamuzi Kuanzisha ACT Wazalendo, Asema Kikwete, Filikunjombe Walimshauri Asiende CCM

Zitto Atoa Siri Uamuzi Kuanzisha ACT Wazalendo, Asema Kikwete, Filikunjombe Walimshauri Asiende CCM

@officialactwazalendotv KUHUSU SUALA KUPIGA KURA SIKU MBILI HILI JAMBO HATULITAKI #othmanmasoud #act

@officialactwazalendotv KUHUSU SUALA KUPIGA KURA SIKU MBILI HILI JAMBO HATULITAKI #othmanmasoud #act

Sababu ya ACT Wazalendo kususia uchaguzi Kwahani

Sababu ya ACT Wazalendo kususia uchaguzi Kwahani

@officialactwazalendotv HATUTO RUDI NYUMA KATIKA SUALA LA UKOMBOZI WA ZANZIBAR WAPI VIJANA #JUSSA.

@officialactwazalendotv HATUTO RUDI NYUMA KATIKA SUALA LA UKOMBOZI WA ZANZIBAR WAPI VIJANA #JUSSA.

#LIVE 🔴MKUTANO WA HADHARA #BUBUBU #KIJICHI UWANJA WA KWA #GEJI Mhe OTHMAN MASOUD NA JUSSA JUKWAANI..

#LIVE 🔴MKUTANO WA HADHARA #BUBUBU #KIJICHI UWANJA WA KWA #GEJI Mhe OTHMAN MASOUD NA JUSSA JUKWAANI..

Mwanzo mwisho tukio la OMO kuchukuwa fomu ya urais leo | GUMZO LA LEO

Mwanzo mwisho tukio la OMO kuchukuwa fomu ya urais leo | GUMZO LA LEO

🔴#LIVE;JUSSA JAMMANI HANA DOGO MAMBO HAYA HUWA ANAYATOA WAPI MBONA MAZITO.

🔴#LIVE;JUSSA JAMMANI HANA DOGO MAMBO HAYA HUWA ANAYATOA WAPI MBONA MAZITO.

@vugaonlinetv: MJUE OTHMAN MASOUD OTHMAN NI NANI NA KIONGOZI WA AINA GANI KWAKO HUYU HAPA #OMO2025

@vugaonlinetv: MJUE OTHMAN MASOUD OTHMAN NI NANI NA KIONGOZI WA AINA GANI KWAKO HUYU HAPA #OMO2025

HIVI NDIVYO KINGORA KILIVYOINGIA ACT WAZALENDO JANA.KUMSINDIKIZA MAKAMU WA KWANZA

HIVI NDIVYO KINGORA KILIVYOINGIA ACT WAZALENDO JANA.KUMSINDIKIZA MAKAMU WA KWANZA

#LIVE 🔴MAKAMU MWENYE KITI Ndg. ISMAIL #JUSSA AWAPA VIJANA DARSA NZITO MWEMBETANGA

#LIVE 🔴MAKAMU MWENYE KITI Ndg. ISMAIL #JUSSA AWAPA VIJANA DARSA NZITO MWEMBETANGA "TUFANYE YA NGUVU"

Молодой Таджик ВЫНЕС Фаворитов и вышел в финал! Мухиддин Асадуллоев - Abu Dhabi Grand Slam 2025

Молодой Таджик ВЫНЕС Фаворитов и вышел в финал! Мухиддин Асадуллоев - Abu Dhabi Grand Slam 2025

MANSOUR HIMID AVUNJA UKIMYA ATOA KAULI NZITO KUIMALIZA CCM

MANSOUR HIMID AVUNJA UKIMYA ATOA KAULI NZITO KUIMALIZA CCM

@officialactwazalendotv JUSSA KUYASOMA MANENO YA Mhe ABEID AMANI KARUME KUHUSU ZANZIBAR #ACT #JUSSA

@officialactwazalendotv JUSSA KUYASOMA MANENO YA Mhe ABEID AMANI KARUME KUHUSU ZANZIBAR #ACT #JUSSA

🔴#LIVE:  Mkutano wa  hadhara wa Chama cha ACT-Wazalendo   Zanzibar

🔴#LIVE: Mkutano wa hadhara wa Chama cha ACT-Wazalendo Zanzibar

@officialactwazalendotv HII NDO HUTBA YA KARNE YA MH MANSOUR YUSSUF KUTOKA TIBIRINZI ISIKILIZE HAPA

@officialactwazalendotv HII NDO HUTBA YA KARNE YA MH MANSOUR YUSSUF KUTOKA TIBIRINZI ISIKILIZE HAPA

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]