Rais Magufuli agoma kupandisha mishahara, aeleza sababu
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-05-01
Просмотров: 51435
Rais Magufuli akiwa kwenye sherehe za Siku ya Wafanyafakazi (Mei Mosi) ambazo kitaifa zimefanyika katika Uwanja wa Samora mjini Iringa, amekataa ombi la kupandisha mishahara ya wafanyakazi lililotolewa na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA).
Amesema yeye anavyoona ni bora zaidi kupeleka fedha kwenye miradi mikubwa ya maendeleo inayoendelea nchini kuliko kuongeza mishahara.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: