Dr. Chris Mauki: Je unamtoto wa miaka 12-19? Fahamu haya matano yatakusaidia
Автор: Chris Mauki
Загружено: 2022-05-09
Просмотров: 6337
Kama una mtoto au watoto kati ya miaka 12 hadi 19 basi hii ni ya kwako kabisa. Sio rahisi kulea mtoto mwenye umri huu, unaitwa “adolescence”, changamoto zake ni lukuki, na kama huzielewi utapata shida. Nifuatilie nikufundishe ili uboreshe mbinu zako za malezi#DrChrisMauki#Malezi#Mtoto
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: