fanyabiashara na mdau mkubwa wa soka ambaye ni shabiki wa Simba,
Автор: NJOKILINYO MEDIA
Загружено: 23 апр. 2025 г.
Просмотров: 0 просмотров
@official_njokilinyomediatz FOLLOW US
Mfanyabiashara na mdau mkubwa wa soka ambaye ni shabiki wa Simba, Azim Dewji amesema watani wao wa jadi, Yanga hawana cha kuzungumza wala cha kushabikia kwa sasa na wanachokitaka ni kuwatoa Simba mchezoni kuelekea kwenye mechi yake ya marudiano dhidi ya Stellenbosch nchini Afrika Kusini.

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: