Harusi ya Joti: Joti na Bella wasakata sebene, Mpoki aibu
Автор: Bongo5
Загружено: 2017-10-29
Просмотров: 356911
Usiku wa sherehe wa Harusi ya Joti ulijaa burudani za aina mbalimbali, lakini moja kati ya vitu ambavyo viliibua shangwe ukumbini hapo ni jisni mkali wa masauti, Christian Bella alivyocheza na mwana harusi. Wawili hao walionyesha uwezo mkubwa katika kusakata masebene mbalimbali ambayo yalikuwa yakipigwa ukumbini hapo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: