Wakulima wa mbogamboga watoa ushauri.
Автор: EastAfricaTV
Загружено: 2018-11-21
Просмотров: 442
Wakulima wa mboga mboga wasiotumia kemikali katika kilimo hicho wamewahimiza wakulima wa mbogamboga kujifunza kilimo hicho ambacho kinatumia eneo dogo la kilimo na haliruhusu magonjwa kupenya kwenye mimea ili kulinda afya ya mlaji.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: