MBUZI WA AJABU AZALIWA AKIWA NA MIGUU 8,MASIKO 3 NA KICHWA KINAFANANA NA BINDAMU
Автор: Mtikiso Channel
Загружено: 2019-05-10
Просмотров: 215
Kila mwaka uwaga yanatokea matukio ya kustahajabisha mwaka huu ikiwa ni ya kitofauti na ya kipekee maana matukio mengi uwaga yanatokea kwa Binadamu Pekee na Hii ni Miujiza yake Mwenyezi Mungu Juu ya Utukufu wake na uwepo wake kwetu .
Hivyo basi katika kijiji cha Imalauduki Wilayani Uyui Mkoani Tabora washangazwa na kitendo cha mbuzi wao kuzaa kiumbe cha ajabu Kitoto hicho cha mbuzi kimezaliwa kikiwa na miguu minane,masikio matatu na jinsia mbili.
#azaakiumbechaajabu #mbuziwaajabuazaliwa #kiumbechaajabu #mbuziajifunguakiumbechaajabu #mbuziazaakiumbechaajabu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: