Mwita Waitara: Rais Samia Aitwe Mama wa Taifa I Amchana Mbowe Bungeni I Wabunge Wamiminia Hela
Автор: CLOUDSMEDIA
Загружено: 2023-06-10
Просмотров: 1017
Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio Rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania tulimpa heshima Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyrere, Pia ni raihisi aliyeahidi hakuna kazi itakayosimama na zikaendelea.
Pia Mbunge wa Tarime Vijijini anasema Rais kwa huruma yake alimkuta mtu yupo gerezani akamtoa, akaenda kula nae Ikulu, akaruhusu mikutano ya yama vya Siasa ila mheshimiwa Mbowe amemkosea sana Rais na anapaswa kumwomba radhi Rais.
Video ya Mbunge wa Tarime Vijijini Mhe. Mwita Waitara tumekuwekea kwenye akaunti yetu ya Youtube “Clouds Media”.
#KutokaBungeni
#7bisha
#CloudsDigitalUpdates
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: