Shindano la kukuna nazi Tanga Women's Gala 2025 party 7
Автор: Tanga Tanzania TV
Загружено: 2025-09-08
Просмотров: 2003
Tamasha hili huadhimishwa kila mwaka na mwaka huu ni msimu wa Nane Tanga Women's Gala Tamasha la wajasiriamali la wanawake mkoani Tanga tamasha hili siku linapo adhimishwa huambatana na burudani mbalimbali kama kuonyesha mavazi ya kiasili pamoja na vyakula vya kiasili, ngoma za asili na mambo mbalimbali hakika mkoa wa Tanga tunajivunia uwepo wa Tanga Women's Gala. #tanga_tanzania #Tanga_Womens_Gala
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: