KIMENUKA! ; ASKOFU MWAMAKULA AWATAJA KWA MAJINA WALIOKWENDA KUMVAMIA NYUMBANI KWAKE ATOA TAMKO ZITO
Автор: HOT NEWS
Загружено: 2025-12-11
Просмотров: 11615
Usiku wa 8 Desemba 2025, saa 3 usiku, watu 9 waliotajwa kama askari walifika makazi ya Askofu Mwamakula huko Mundekesye, Itunge, Kyela, wakidai kutoka Mbeya kumtafuta. Hawakuvaa sare, walificha gari na silaha, bila kuwajulisha viongozi wa eneo. Kiongozi wao, Mwanyondo Imma (kada CCM wa Serengeti), alipigwa simu akawahimiza haraka ukamataji! Tukio hili linashangaza: Je, polisi walowatuma? Au ni utekaji? Makazi haya ni ya heshima tangu 1945, Chifu Bandekile. Tunatoa wito Mwanyondo ajieleze, na polisi watoe kauli. Umma wa Kyela
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
#AskofuMwamakula #UtekajiKyela #PolisiWaeleze #MwanyondoImma #CCMDrama #ItungeNews #KyelaAlert #ViralTanzania #UsalamaWananchi #TamkoZito
Askofu Mwamakula, Tukio Kyela, Polisi Usiku, Mwanyondo CCM, Vamizi Nyumbani, Itunge Mundekesye, Ulinzi Tanzania
KIMENUKA! ; ASKOFU MWAMAKULA AWATAJA KWA MAJINA WALIOKWENDA KUMVAMIA NYUMBANI KWAKE ATOA TAMKO ZITO • KIMENUKA! ; ASKOFU MWAMAKULA AWATAJA KWA M...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: