MGOGORO WA ARDHI WACHUKUA SURA MPYA KASKAZINI, WAZIRI NADIR AINGILIA KATI
Автор: ASAM Online TV
Загружено: 2025-12-20
Просмотров: 5007
Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Madini, Ndugu Nadir Abdullatif, amefika Matemwe Kijini kwa lengo la kusikiliza na kutatua mgogoro wa ardhi uliopo kati ya Ndugu Salum Zubeir Ame na Puju Haji Kibaraza.
Katika kikao hicho, pande zote mbili zilipata fursa ya kueleza kwa kina chanzo na mwenendo wa mgogoro huo mbele ya Waziri.
Baada ya kusikiliza maelezo yao, Mheshimiwa Nadir Abdullatif ameahidi kuushughulikia mgogoro huo kwa haki na kwa mujibu wa sheria, akisisitiza kuwa kila mmoja atapata haki yake bila upendeleo.
#MigogoroYaArdhi
#HakiKwaWote
#Matemwe
#Zanzibar
#SerikaliYaMapinduzi
#AsamOnlineTV
#HabariZaJamii
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: