Chef d'Entité wa Nord-Kivu aweka jiwe la msingi la ujenzi wa msikiti mkubwa Munigi OPRP
Автор: AR-RISÂLAT TV
Загружено: 2025-12-21
Просмотров: 214
Chef d'Entitté Islamique du Nord-Kivu, sheikh Moussa Ahmad Mabange aliweka jiwe la msingi la ujenzi wa msikiti mkubwa Munigi katika tarafa la Nyiragongo jimboni Nord-Kivu. Juhudi ya waislamu wa kitongoji hiki, zimeempelekea Imam wa jimbo kuchukuwa hatua hii kubwa ya kuwaunga mkono waislamu wake na kualika waislamu ote kuwa wafadhili wa kazi hii ya Allah.
Msikiti wenye mikiasi ya meta 15 kwa 20 (15/20m). Kwa uito huu wa kiongozi wa umma taasisi ya ACADI Asbl, alikuwa ya kuanza kujitoa kwa kutangaza mchango wake wa mifuko 100 ya Ciments.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: