R.I.P SHEIKH KUSWALINNALEKE , ROCKET | TAZAMA MAZISHI YOTE KIJIJINI KWAKE MUMBURU, HAPATOSHI.
Автор: MUUNGWANA ONE TV
Загружено: 2026-01-21
Просмотров: 9192
HISTORIA FUPI YA KIFO CHAKE NA SAFARI YAKE YA MAZISHI KIJIJINI KWAKE MUMBURU - MASASI
Shekh Alhaji Ally ( KUSWALINNALEKE) Afariki 😭.
Marehemu Sheikh Alhaji Ally, Bin Mussa ( kuswalinnaleke), ameaga Dunia.. kifo kilichotokea tarehe 20/01/2026, Hospital ya rufaa ya Taifa Muhimbili iliyoko Jijini Dare es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu yake.
Msiba baada ya kufika nyumbani kwao kariakooo mtaa wa Mzizima, uliwasili msikiti wa maamuru upanga saa 8:00 Mchana kwa ajili kuswaliwa.
Baada ya hapo, Msiba utaanza Safari ya kwenda kijiji Cha Mumburu, mkoa wa mtwara wilaya ya Masasi kwa taratibu za Mazishi.
Mazishi yatafanyika Kesho tarehe 21/01/2026. Muda ni saa 10:00 ya jioni baada ya swala..Kijijini MUMBURU.
Innalillahi wa innailah rajiun🙏
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
Update
MUUNGWANA ONE TV
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: