9. MAOMBI YA KUSHINDA VITA YA NYUMBA YA BABA YAKO - MWL. ISAAC JAVAN - EVENING GLORY - KKKT KISASA
Автор: Isaac Javan
Загружено: 2021-08-30
Просмотров: 5178
MIKAKATI YA MAOMBI
1. Omba toba na rehema kwenye malango yaliyotumika kupitisha magonjwa ya kurithi. Halafu, nyunyiza damu ya Yesu kwenye hayo malango.
2. Omba toba na rehema kwenye sadaka zilizotolewa kwenye madhabahu za nyumba ya baba yako, na zikafungua mlango wa magonjwa ya kurithi.
3. Jenga madhabahu ya BWANA kwa kutumia kinywa chako, na uisimamishe dhidi ya ugonjwa unaokusumbua.
4. Unganisha sadaka yako kwa damu ya Yesu halafu iweke kwenye madhabahu uliyoijenga.
5. Inenee sadaka yako unataka ifanye nini kwenye madhabahu ya BWANA.
AMEN! Kumbuka Somo hili linaendelea. Mshirikishe na mtu mwingine ambaye anaweza kunufaika na mafundisho na maombi haya. Mungu akubariki na kukulinda.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: