Acha kuendeshwa na hisia| Miliki ukimya wa kihisia | Simulizi na Hekima
Автор: Simulizi na Hekima
Загружено: 2025-11-26
Просмотров: 391
Waliwahi kukuambia uonyeshe hisia zako. Uvae moyo wako juu ya uso. Lakini vipi kama nguvu ya kweli iko kwenye kimya? Kwenye kujizuia? Kwenye kuwa mtu ambaye hawezi kusomwa?
Hii si hotuba ya kawaida ya motisha. Hii ni vita dhidi ya udhaifu. Hii ni hatua ya mwisho ya nidhamu ya kihisia. Kama umechoka kuchezwa, kudharauliwa, au kuvunjika mara kwa mara — basi ujumbe huu ndiyo mwamko wako.
🧠 Huu ni ukweli mtupu, bila kelele, bila porojo. Hakuna hype ya bandia. Ni mkakati kutoka gizani.
⚠️ Kama umechoka kuwa mtu anayejulikana kirahisi, anayereact kwa kila kitu, asiye na msimamo — sikiliza hadi mwisho. Hii inaweza kubadilisha namna unavyoishi na namna unavyowatazama watu milele.
🔥 Kaa kimya. Kaa makini. Kaa asiyeonekana. 👊 Andika “Naona kila kitu, nasema chochote.” kama uko tayari. 🚨 Tuma video hii kwa mtu mmoja ambaye kazoea kuguswa kihisia na kila kitu badala ya kutawala hisia zake.
#SimuliziNaHekima #UdhibitiWaHisia #NidhamuYaKisaikolojia #MotishaYaGiza #AyanokojiVibes #KukomaaKifalsafa #NguvuYaUtulivu #HadithiZaHekima
Disclamer: Maudhui haya yametengenezwa kwa madhumuni ya elimu, motisha na kubadilisha mtazamo. Sauti na maandishi ni asili. Picha au vipande vilivyotumika vimehaririwa kwa kiwango kikubwa ili kuleta maana na maelezo sahihi. Hakuna nia ya kukiuka hakimiliki.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: