ISRAA WAL MI‘RAJ: SAFARI YA AJABU NA MAFUNZO MUHIMU KWA WAISLAMU | USTADH SHAFI ALI KOFA
Автор: Masjid Taqwa Mnarani
Загружено: 2026-01-16
Просмотров: 9
Katika darsa hii muhimu, Ustadh Shafi Ali anazungumzia tukio tukufu la Israa wal Mi‘raj, safari ya ajabu aliyofanywa Mtume Muhammad ﷺ kwa amri ya Allah ﷻ.
Darsa hii inaeleza kwa kina:
Maana na umuhimu wa Israa wal Mi‘raj
Mafunzo (ibra) muhimu kwa Waislamu
Nafasi ya Swala katika Uislamu
Ujumbe wa subira na imani baada ya mitihani
Ni darsa lenye kuimarisha imani na kuongeza uelewa wa matukio makubwa katika historia ya Uislamu.
📌 Usisahau:
👉 Like
👉 Subscribe
👉 Share ili thawabu ziendelee
Allah atujaalie kunufaika na kuyatekeleza mafunzo haya. Aamiin.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: