Wakaazi wa Mkokoni, Lamu Mashariki walalamikia ukosefu wa soko
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2022-08-23
Просмотров: 3887
Wakaazi wa eneo la Mkokoni eneo bunge la Lamu Mashariki wanakadiria hasara ya mazao yao ya matikiti maji wanayosema yanaharibika kutokana na uhaba wa soko. Wanadai kuwa wanalazimika kutafuta soko maeneo yaliyo nje ya kisiwa hicho ili kupata soko.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: