Carmel Kiburi Official Video
Автор: Carmel Youth choir
Загружено: 2025-10-19
Просмотров: 3818
KIBURI
Ni wimbo unaotukumbusha kuwa, pale tunapopata mafanikio ya mambo tulio
Yatamani kuyapata.Basi tudumu katika unyenyekevu na kuendelea kuwathamini wengine bila kuangalia udhaifu wao.
Danieli 5:19-20
[19]Na kwa sababu ya ule ukuu aliompa, watu wa kabila zote, na mataifa, na lugha, wakatetemeka na kuogopa mbele yake; aliyetaka kumwua alimwua; na aliyetaka kumwacha hai, alimwacha hai; aliyetaka kumtukuza, alimtukuza; na aliyetaka kumshusha, alimshusha.
[20]Lakini moyo wake ulipoinuliwa, na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi, aliuzuliwa katika kiti chake cha enzi, nao wakamwondolea utukufu wake.
🎧Karibu kusikiliza ujumbe huu na Mungu atusaidie tuweze kuuishi🙏.
#kiburi#carmelyouthchoir#unyenyekevu#niondoleekiburi#kujikweza#majivuno#wivu#niwezesheBabanakuomba#
SONG CREDITS:-
Artist:Carmel Youth Choir
Composer: Joseph Mutta
Vocal arrangements: Joseph Mutta
Audio:Pro Jonah/Ameen studios
+255620150228/+255758892828
Video:Mkushi brand
+255624679601
Instrumentation:-
-Main frame:Joseph Mutta
-Bass guitar: Joseph Mutta
-Solo guitar :Pro Izengo
Email:[email protected]
Instagram:@carmelyouthchoir
TikTok:Carmelyouthchoir
Contact: +255745936053/+255784640072
#kiburi#carmelyouthchoir#unyenyekevu#niwezeshebaba#nakuomba.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: