Jinsi ya Kufunga Simu Iliyoibiwa au Kupotea Kwa Kutumia IMEI Namba
Автор: ICT yetu
Загружено: 2021-04-09
Просмотров: 15769
http://ajakaiict.net/ictyetu.html
Ikiwa simu yako imeibiwa au imepotea, unaweza kuripoti nambari yako ya IMEI na kuizuia. Ni lazima maamuzi yafanyike haraka iwezekanavyo kwa kutoa taarifa kituo cha polisi na kuifungia simu hiyo ili isiweze kutumika tena. Hakikisha kabla hujakwenda kutoa ripoti umetenganisha akaunti zako zote na hiyo simu. Tazama video hii ili hatua kwa hatua nitakuelekeza namna ya kuifungia simu yako kwa kutumia IMEI namba.
→ Jiunge kwa kubonyeza Subscribe ili kupata mafunzo mengi zaidi tuliokuandalia kwa kiswahili
➭ AJAKAI ICT TRICK [English Channel]: / @flakmovies
➭ ICT YETU [Swahili Channel]: / @ictyetu
→ Instagram: @ajakaiict
→ Facebook Page: / awadhjamali
→ Website: https://www.ajakaiict.net
→ Online Computer Course: / Канал •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
➭ MSAADA MTANDAONI: [email protected] OR WhatsApp: +255 678 920 112
➭ KWA KIBIASHARA: [email protected]
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
#kufungasimu #ku block #simuiliyopotea #simuiliyoibiwa
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: