Mashindano ya Umoja wa wanafunzi wa Kikristo ( CCT) Ngazi ya vyuo vikuu Mwaka 2025 Jijini Mbeya.
Автор: ROBERT NDENDYA
Загружено: 2025-04-21
Просмотров: 497
Tarehe 19 April 2025 Ilikuwa siku njema sana kwa vijana wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Walipomtukuza Mungu kwa vipawa vyao kwa njia ya Uimbaji katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa wanafunzi wa Kikristo wa Vyuo vikuu, Maarufu kwa jina la USCF (University Students Christian Fellowship) Uliofanyika jijini Mbeya katika shule ya Kimataifa ya ST.MARY'S. Na huu ni Wimbo Mkuu (Set-Song) Unaojulikana kwa jina la '' Haya usiku waja ewe ndugu shika ulicho nacho" By Mwl Robert Lutangilo Ndendya
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: