Fahamu Hizi Mbinu 7 za Kutengeneza Hesabu za Biashara
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2025-10-18
Просмотров: 175
Hebu nisikilize sasa hivi! Wewe ni mfanyabiashara, unakomaa kila siku, lakini mwisho wa mwezi unashangaa, "Pesa zako zote zimeyeyuka wapi?!" Au mbaya zaidi, unapiga hesabu za kichwani, unadhani unapiga hela kumbe hasara inakuua kimyakimya!
Unataka kujua sababu NAMBA MOJA inayofanya biashara nyingi ZIFE?! Sio kwa sababu unauza bei rahisi! Sio kwa sababu ya kodi! Sababu kubwa kuliko zote ni kuhesabu biashara kichwani! Umesikia "macho na sikio," lakini kwenye pesa za biashara, unahitaji zaidi ya hivyo – unahitaji DATA! Leo, ninakupatia siri SABA ambazo mabilionea wanazitumia kila siku! Hizi ni mbinu zitakazokufanya uone faida halisi na kuepuka mitego ya hasara.
How to start business Channel tunatoa elimu ya kuanzisha na kuendeleza biashara, kwa vijana waliomaliza vyuo vikuu na wanataka kujiajiri. Tunatoa elimu ya jinsi ya kuanzisha na kuendeleza biashara, elimu ya hesabu za biashara na uwekezaji katika biashara. Pia tunatoa elimu ya ujasiriamali kupitia vitabu, videos, website, Online School na Online Television
1. Kupata eBooks, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
3. Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz
4. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
YouTube: / alimwambola
#howtostartbusiness #businessstartup #alimwambola #BiasharaTZ #YoungEntrepreneurs
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: