SEKONDARI YA TURA KUANZA KIDATO CHA TANO JULAI MWAKA 2022
Автор: CCM Tabora online TV
Загружено: 2022-03-06
Просмотров: 2214
Katibu wa CCM Wilaya ya UYUI Ndg BAKARI LWASA ametembelea Sekondari ya TURA na kulidhishwa na maandalizi ya kuwaapokea Wanafunzi wa kidato cha Tano wanaotarajiwa kuanza mwezi wa saba mwaka huu
Ndg BAKARI amesema CCM Inafuatilia kwa ukaribu Fedha zote zinazotolewa na Serikali ili lengo la fedha hizo kutumika kujenga miundombinu ya Elimu linafikiwa
Akitoa taarifa Mkuu wa Shule ya Sekondari Tura MWL.ADAM SHABANI amesema Shule ilipokea Fedha Tsh MILIONI 80 kwaajili ya ujenzi wa vyumba vinne vya Madarasa pamoja na kutengeneza samani vyumba vyote vinne vimekamilika Meza 200 pamoja na viti vimekamilika na Wanafunzi wanatumia pia amesema walipokea fedha kiasi cha TSH MILIONI MIAMOJA TISINI NA TANO LAKI SABA kutoka kwa mfadhili kwaajili ya ujenzi wa Mabweni Mawilia na umaliziaji wa Chumba kimoja cha maabala kutoka kampuni ya JTI tayari ujenzi umekamilia na sasa kama shule inamiundombinu yote inayotakiwa na wanasubili kuwapokea wanafunzi wa kidato cha tano mwezi wa saba mwaka huu 2022 ameishikuru serkali pamoja na viongozi wote walioweka jitihada zao kuhakikisha tura sekondari inakuwa namnazingira rafiki ya kufundishia na kujisomea
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: