Tazama NONDO za Profesa Muhongo zilivyoibua shangwe Bungeni
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-02-07
Просмотров: 2050
Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo akizungumza wakati akichangia maoni yake kwenye taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni Na Michezo kuhusu shughuli za kamati kwa kipindi cha Februari 2023 hadi Januari 2024 pamoja na taarifa Ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii kuhusu shughuli za kamati kwa mwaka 2023 leo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: