MAKALA YETU: EP 23 | UFUGAJI WA KUKU AINA YA SASSO
Автор: VOAGTV
Загружено: 2023-07-05
Просмотров: 10887
Kuna aina nyingi ya kuku wanaotofautiana kwa sifa mbalimbali, lakini katika miaka ya karibuni, macho ya wafugaji wengi yameangukia katika kuku aina ya Saso.
Kwasababu Ana sifa za kipekee ikiwamo kuwa na uzito unaofikia kilo tano endapo kama atatunzwa vizuri. Lakini pia wana sifa ya kukua haraka na muonekano wa kupendeza.
Hivyo SASSO ni kuku ambao asili yake ni huko Nchini Ufaransa,hivyo mfugaji anaweza kuwafuga kwaajili ya mayai lakini pia kwaajili ya nyama. Pia ni kuku ambao wanakua katika mazingira ya aina yoyote kutokana na namna ya ufugaji utakao amua kuwafuga. Pia Unaweza kuwafuga ndani tu kama kuku wa nyama au mayai, pia unaweza kuwafuga kama kuku wa kienyeji kwa kuwaachia nje yaani kwaajili ya (kujitafutia chakula na maji).
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: