Bwana Twaja Kwako Agape Int Choir
Автор: Agape Int SDA Choir
Загружено: 2020-06-08
Просмотров: 2622
Agape Int Choir toka Kanisa la Waadventista Wasabato Kewanja wakimuomba Mungu na kumita wakati huu wa gonjwa la Corona. Ikiwa ni sehemu pia ya agizo la Kanisa la Waadventista Wasabato Ulimwengini na Rais wa Jamuhiri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Joseph Pombe Magufuli.
Kumbuka kujiandikisha (Subscribe) na kushea (share) katika akaunti yetu kwa video zaidi.
Mungu awabariki.
Kwa mawasiliano: choiragape7@gmail.com
During this hard time of Covid-19 pandemic, Agape Int Choir from Kewanja SDA Church also asked for God's mercy to heal the world from Covid-19 pandemic as call from World Adventist General Conference HQ and United Republic of Tanzania under Hon. John Joseph Pombe Magufuli.
Dont forget to share and subscribe on our account for more Videos.
God bless you.
For more info. choiragape7@gmail.com
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: