E/HABARI:BIASHARA TANZANIA YAPONGEZWA MATUMIZI YA VIWANGO VYA KIMATAIFA VYA UHASIBU WA SEKTA YA UMMA
Автор: EFM TANZANIA
Загружено: 2025-11-27
Просмотров: 28
TANZANIA imepongezwa kwa kuwa miongoni mwa nchi kinara barani Afrika kutumia viwango vya kimataifa vya Uhasibu wa Sekta ya Umma (IPSAS), hatua iliyochangia kuweka uwazi na uwajibikaji katika usimamizi wa fedha za umma.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: