SIMBACHAWENE :WANAKUJA WAMENYOA KIDUKU KWENYE USAILI
Автор: Nipashe Digital
Загружено: 2025-04-17
Просмотров: 268
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene ametaja sababu kadhaa zinazowakosesha ajira waombaji wa kazi hasa wanapofikia hatua ya usaili wa ana kwa ana kuwa ni muonekano wao kutokana na kunyoa kiduku, kuvaa tisheti, suruali zilizochanwa na unywaji pombe.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: