KIPYENGA CHA MWISHO 13/11/2025 | Matukio tata Yanga vs Mtibwa, JKT TZ vs Simba & Namungo vs Azam,
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-11-16
Просмотров: 9700
Mechi tatu za NBC Premier League (viporo) zilikuwa na matukio kadhaa yenye utata ikiwemo kadi nyekundu, na utata kwenye magoli....
Mechi hizo ni Namungo FC vs Azam FC, Yanga SC vs Mtibwa Sugar na JKT Tanzania vs Simba SC.
Osman Kazi na jopo lake la wataalamu wa sheria za soka, wanachambua kwa kina matukio haya....
Kiongozi wa jambo ni host Hassan Ahmed.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: