Rais Magufuli ataja sababu ya 'kumtumbua' Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU (07/09/2018)
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-09-07
Просмотров: 4378
Septemba 6 mwaka huu, Rais Magufuli alitengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa TAKUKURU Valentino Mlowola, huku akimteua Diwani Athuman kushika nafasi hiyo.
Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu haikueleza sababu za uamuzi huo lakini leo Rais ameweka wazi sababu iliyomfanya achukue uamuzi huo.
Ni kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo Septemba 7, 2018 kwenye Chuo cha Ualimu Tarime ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani Mara.
Katika uamuzi huo Rais Magufuli alimteua Mlowola kuwa Balozi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: